Nchi ya Kenya kuongeza ushirikiano na Tanzania katika huduma za Saratani kwa kushirikiana na taasisi ya Saratani Ocean Road

Na Mwandishi Dar es Salaam Ubalozi wa Kenya nchini umeweka wazi nia yake ya kuongeza ushirikiano na Tanzania katika matibabu ya saratani kwa kuhakikisha diplomasia ya utamaduni na afya baina ya hizi nchi mbili unaimarishwa ikiwemo wananchi wa Kenya, kufika katika Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI). Masuala hayo yamebainishwa na Balozi wa Kenya nchini